
Ajira
Nafasi za kazi hutangazwa kupitia Halmashauri ya Mji Makambako na Sekretarieti ya Ajira (Ajira Portal). Hakuna malipo yoyote yanayohitajika kuomba kazi.
Zabuni
Zabuni za ununuzi hutangazwa kupitia mfumo wa serikali wa ununuzi (NeST) na mbao za matangazo za Halmashauri.
Tahadhari: Jihadhari na matapeli wanaodai pesa kwa ahadi ya ajira hospitalini. Ripoti kwa kupiga 0766 332 159.